Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Napenda sana nazi aisee. Ukiacha wali nazi
Nina hizi mboga zangu lazima ziwe na nazi maharage, njegere, samaki, kisamvu

Makande nazi pia
👏🏾👏🏾

Sasa umetaja makande ya kazi gani?????😟😟 Utanifanya nijishughulishe nayo wakati muda sina!😵

Kisamvu cha karanga je hupendi??? Mie vyote ulivyotaja + mchicha na mnavu uliochanganywa na nyama, bila kusahau majani ya maboga!!!! Ugali unakua unashuka vizuri sana!🤤🤤
 
Screenshot_20230525-205941.png
Screenshot_20230525-210020.png

Dr Lizzy
 
👏🏾👏🏾

Sasa umetaja makande ya kazi gani?????😟😟 Utanifanya nijishughulishe nayo wakati muda sina!😵

Kisamvu cha karanga je hupendi??? Mie vyote ulivyotaja + mchicha na mnavu uliochanganywa na nyama, bila kusahau majani ya maboga!!!! Ugali unakua unashuka vizuri sana!🤤🤤
Me namshangaa mtu asiyekula makande.

Kuna rafiki yangu hali kabisa. Kisa eti aliyala sana shule. Namwambia pesa kidogo tu unaanza kukandia chakula ya kitanzania 😂

Tena huku nakula mpk ya mahindi mabichi 😂😂😂
 
Mbona mapema sana 😀
Au we mwenyewe ndio Boss 🥰
Huo muda nilikuwa kwa blanket 🛌
Yan huku hatupoi, tumemaliza mvua tunaingia baridi.
Kaboss ka mchongo mchongo!☺️🤩

Nimeshtuka nikaona badala ya kurudi ku 💤 bora nianze siku yangu mapema, nipunguze task zangu & 📧 alafu ntanap nikizidiwa.

Usingizi wa baridi na mvua ni mtamu sana!!!🤗 Kama hamna haja ya kuamka mapema then hamna haja ya kuamka mapema!😁 Alafu kwani hamuwezi kutupunguzia hiyo baridi yenu kidogo na sie tupumue??🙄
 
Me namshangaa mtu asiyekula makande.

Kuna rafiki yangu hali kabisa. Kisa eti aliyala sana shule. Namwambia pesa kidogo tu unaanza kukandia chakula ya kitanzania 😂

Tena huku nakula mpk ya mahindi mabichi 😂😂😂
😆😆😆😆

Hata mimi huniambii chochote kuhusu makande, makukuru(ni kama makande ila mahindi hayakobolewi) na ngararimu (mahindi bila 🫘) ya kule kwetu milimani!🤓🤓

Sema waliokula sana maharage & makande shule wasikilizwe, wanaweza kuwa na hoja ya msingi!😁
 
Back
Top Bottom