Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

jaribu kwa swimming pool huwezi zama .

usijaribu beach wale beach boys ni balaa .

alitaka nipeleka mbali , nashukuru kisauti changu nilipiga kelele kweli tukarudi ufukweni .
Swimming pool si ndio alifia yule Binti wa Kenya?

Mbali Tena? 😂Alooo

Nimekubali duniani kitu ambacho siwezi ni kuogelea.
 
Swimming pool si ndio alifia yule Binti wa Kenya?

Mbali Tena? 😂Alooo

Nimekubali duniani kitu ambacho siwezi ni kuogelea.
duh so sad
ilikuwaje ???

swimming pool is much safe aisee beach kuna waves sana

mbali eeh maji yanazidi kweli , yule jamaa bhana namwambia turudi hataki nikasema hunijui 😂😂
 
Swimming pool si ndio alifia yule Binti wa Kenya?

Mbali Tena? 😂Alooo

Nimekubali duniani kitu ambacho siwezi ni kuogelea.
beach boys wanabaka wale vijana nasikia mkifika mbali wanakuambia nikuache hapa au unipe aisee .

wanashawishi hao wanakuambia kodi boya , kodi nguo na unakodi 😂😂😂 .
 
duh so sad
ilikuwaje ???

swimming pool is much safe aisee beach kuna waves sana

mbali eeh maji yanazidi kweli , yule jamaa bhana namwambia turudi hataki nikasema hunijui [emoji23][emoji23]
Yule dada itrend sana,alifia nchi za nje huko.
Tena alikuwa live Facebook ,akaenda kuogelea
Anaenda kina kirefu,anarudi,anaenda anarudi baadaye alivyoenda akaanza kutapatapa
Pekeyake,hadi kuja kumtoa ashakufa.

Huyo beach boy alikuwa na agenda gani?[emoji23]
 
Ah so sad aiseeee

yaaani sina hamu , naendaga beach sana lakini sijisumbui kuogelea tena .
 
beach boys wanabaka wale vijana nasikia mkifika mbali wanakuambia nikuache hapa au unipe aisee .

wanashawishi hao wanakuambia kodi boya , kodi nguo na unakodi [emoji23][emoji23][emoji23] .
Makubwaa [emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji846]
744287696.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23] coco beach huko.
nikienda nakula tu mihogo na kurudi ..

hii ya Ununio imetulia sana , nimekwendapo twice .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee

Siku moja kwenye wote

Mimi nimewahi kwenda mara moja tu, sijui ndo huko Cocobeach
Tukapiga picha tu za kumbukumbu na kuondoka,Mbeya hatuna bahari[emoji23].

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom