Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,769
- 54,901
🤣🤣🤣 basi atakuwa anenda kulima mashamba ya mihogo Kongoweyuko huu upande wa mbagala🤣
🤣🤣🤣 basi atakuwa anenda kulima mashamba ya mihogo Kongoweyuko huu upande wa mbagala🤣
weka kina Tinsley wapofuke 😂ila ushajua kweli ni mzungu au nipige picha ya dushe niweke😀😀😀
Aaah mazee, usinilishe maneno basi. Hilo la kusema hujielewi umelileta wewe, binafsi nimesema kwamba una roho ngumu.aisee unaniona dogo ila nina 32 years. Baba wa familia haya mambo ya mtandaoni yasikufanye ukahusi sijielew😀
Nae halagi vitu haramKuna pach wako
Wewe hauna tofauti na yahaya wa jide haujulikani unaishi wapi 🤣🤣🤣K
wa mshua utakuja siku naoa
Shukrani sana. Kweli 32 ni kijana ila sio kinda. Thanks for nothing 😀Aaah mazee, usinilishe maneno basi. Hilo la kusema hujielewi umelileta wewe, binafsi nimesema kwamba una roho ngumu.
Miaka 32 bado kinda sana mazee, still a long way ahead. Mimi nikutakie kila la kheri ..
We uyooo haya unaoa lini uache kuziniNae halagi vitu haram
Sasa hapo Sinza menunua nyumba, umemuhamisha mtu ukajenga au nyumba ya urithi?S
inza
Ahahahaha ujakosea kabisaWewe hauna tofauti na yahaya wa jide haujulikani unaishi wapi 🤣🤣🤣
Nilinunua uwanjaSasa hapo Sinza menunua nyumba, umemuhamisha mtu ukajenga au nyumba ya urithi?
Unataka kunipa mke?We uyooo haya unaoa lini uache kuzini
utakula ban acha masihara kijana....😂 ni mbege hizo kichwanihaha Tinsley hajataka kuona nakuuliza wewe unayenibishia😀
Ndio shemeji yangu mke wa Gily 😂Unataka kunipa mke?
Congrats Tinsley those are the best approaches to managing suicidal thoughts and reducing their frequency in the futureThank you aisee , im a postive person sana , i dont like negative things at all .
encouraging myself all the time , no matter situation na kusema i can do it .
talking to a friend concerning an issue .listening to some music na pia smiling 😂😂😂
dawa za pharmacy zilikuwa .
🤣🤣🤣 haha unataka kunireportutakula ban acha masihara kijana....😂 ni mbege hizo kichwani
Hahahahaa kuishi kwa wazazi jau sanaAhahahaha ujakosea kabisa
Sinza viwanja vinapatikana wapi? Kweli wewe muongo wewe ni wa mkoa wa Pwani. Ndio maana una mambo ya kiswahili utakuwa Mndengereko wa Mwanalumango wewe 🤣🤣🤣Nilinunua uwanja
Hapana nataka binti mbichi under 20Ndio shemeji yangu mke wa Gily 😂