Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
being a parent is awesomethere are so many things you have to get right to be a parent
imagine having your mini me playing around the house . ukimuona tu unajiona wewe kwenye utoto wako .
being a parent is awesomethere are so many things you have to get right to be a parent
Usha anza majungu ngoja nikupe tusi akili ikaw sawahongera aisee shem kapata HB master of supervillains 😂
Umejenga au umepanga? 😅🤣Ahahaha wewe fwala mimi sikai mageton nakaa kwenye nyumba 😂
halafu anakuja kupata msongo wa mawazo akiwa mkubwa, yote ya nini??being a parent is awesome
imagine having your mini me playing around the house . ukimuona tu unajiona wewe kwenye utoto wako .
Ukuje home sasaNakumbuka sana. Kwa hiyo umepanga huko huko Sinza?
NimejemgaaaUmejenga au umepanga? 😅🤣
Usituletee picha za nyumba ya shemeji yako hapa
aisee unaniona dogo ila nina 32 years. Baba wa familia haya mambo ya mtandaoni yasikufanye ukahusi sijielew😀Kutuma jambo la hovyo kama hili hadharani, inahitaji mtu kuwa na roho ngumu sana. Dogo una roho ngumu mno, amini nakwambia....
Wew wakuniacha mlangoni wew na mpwa wako mkaingia ndan na kula ugali na kitimoto walai sijapendaLeta takwimu tuone
🤣🤣🤣 sasa nimekuelewa ndo maana kuna wakati anasemaga yuko Mbezi ya Kimara stand ya Magu kumbe ndo huwa anaendaga shamba. Oya Mwachiluwi unaingiaga Chalinze au Msata?huyu dogo hakai sinza yulo huko karibu na mkoa wa pwani. Angekaa sinza angeringa sana😀
nahisi huwa analima Lima huko
Kwa shemeji au kwa washua?Ukuje home sasa
yuko huu upande wa mbagala🤣🤣🤣🤣 sasa nimekuelewa ndo maana kuna wakati anasemaga yuko Mbezi ya Kimara stand ya Magu kumbe ndo huwa anaendaga shamba. Oya Mwachiluwi unaingiaga Chalinze au Msata?
Hongera. Wapi?Nimejemgaaa
wewe sio wa kwanza kuninyooshea kidole😂Usha anza majungu ngoja nikupe tusi akili ikaw sawaView attachment 2633807
wa mshua utakuja siku naoaKwa shemeji au kwa washua?
Mpaka hapo sipo sio Mimi huyo silagi kitimotoWew wakuniacha mlangoni wew na mpwa wako mkaingia ndan na kula ugali na kitimoto walai sijapenda
inzaHongera. Wapi?
ila ushajua kweli ni mzungu au nipige picha ya dushe niweke😀😀😀wewe sio wa kwanza kuninyooshea kidole😂
Kuna pach wakoMpaka hapo sipo sio Mimi huyo silagi kitimoto
Thank you aisee , im a postive person sana , i dont like negative things at all .Pole sana huwa unakabilianaje na hiyo hali ili isije tokea tena kufanya maamuzi kama hayo?
Ulijaribu na dawa za pharmacy au illicit drugs?