MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,703
- 71,039
Una roho ngumu sana!kwa sababu gani mzee? bado sijakuelew
hutaki kueleweka😀
Una roho ngumu sana!kwa sababu gani mzee? bado sijakuelew
hutaki kueleweka😀
kwa sababu gani mzee? bado sijakuelewWewe jamaa ni moja kati ya binadamu wenye roho ngumu mno.
😎 Laki nne si pesa ya kuteka mtuNimetekwa na Half american na mpwa wake mshamba_hachekwi kisa nipeta lakinnne
roho ngumu kwa sababu ipi?Una roho ngumu sana!
Duh so sadHawa sio waoaji lile kundi la kataa ndoa kwa sababu hawataki majukumu😀
🤣🤣🤣 mbona unajitetea sana au umekuta mboga imeisha?Papai ndio mboga mimi sipend wali uwe na mboga nachanganya matunda sana sana
haha vijana hawawez elewa😀Duh so sad
hawajui utamu wa ndoa
Bwanyenyeee linatuma mavocha tu...
haiko vizuri asilimia zoteukitumia kinga nothing will happen 😅
Bora drug overdose aiseecutting wrist and drug overdose .
Aisee,! Kwahiyo huyo mkomunisti ni kipenzi chako ?Dahh kipenz changuu
waelekezeni mliopo nyie ndo ma mentor zao ujuehaha vijana hawawez elewa😀
yaani mpaka bahati mbaya itokee ila hivihivi hapana.... naogopa watotohaiko vizuri asilimia zote
ikipasuka
yeah bora hiiBora drug overdose aisee
Katika mambo yoote, wewe Lizzy umeamua kweli kuangalia CCTV News 😂😂😂
hata ukiwaelekeza ni bure kabisa. Hawa sio waelewa kabisa .waelekezeni mliopo nyie ndo ma mentor zao ujue
Navyopenda watoto duh nakushangaaaayaani mpaka bahati mbaya itokee ila hivihivi hapana.... naogopa watoto
Ila wewe mwamba bwana! Huyo Tinsley ndiyo minion wako ?Tinsley naomba unifafanulie hapa😀
maana katika watu wanaonifahamu nje ya JF wewe ni mmoja wapo na miaka mitatu sasa hebu fafanua nina roho ngumu?