Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

wewe amini tu.... siwezi ku-prove kwamba mimi sio mod
Screenshot 2023-05-23 015630.png
 
mkuu kiukweli sijui kitu kwahiyo ingependeza unifafanulie kila kitu, lakini sasa muda umeenda nataka nilale..... tuendelee kesho kama hutojali...
Makampuni ya simu yanaruhusu free internet kwa internal members na staff, kuna assigned IP wanazotumia.
Sijui nikufafanulie upande upi likini, trick ya proxy server ni kuonekana kama internal member hilo tunafanya kwa kutumia proxy au VPN.
 
Back
Top Bottom