Hivi
Msukuma umepotelea wapiii kwaniii??? Nimemiss vituko vyako humuuu!!
Ankoli akee
Nyumbu pole sana kwa bannnnn ankooo hilo nalo litapitaa tyuuu
Mamaa Mshepuuu wahajaaaa dear hivi mguu uliponaga??? Miss you sana mamalaooo
The jiniazzz shougaaangu a.k.a jembe la majembeeeee njoo unisaidie kumark najua mambo yako hayaaa ni shwaaaaa dakika sifuri pepa zishaishaaaaa!
Mnywani akee nimekumiss hadi naumwaa mimii bila shaka uko vyediii
Madam akee uje kunisaidia kurekodi marks mdogo wangu sio kwa mzigo huu..hapa bado form 3 zinanisubiri doh
Muwe na asubuhi njema
wapendwaaa!!
Good morning βοΈβοΈβοΈ!