Ukifika Makumbusho ni PM basi
Hahaha..........sijui Mjukuu wangu ameandika nini tena hapa, unajua nilimwachia simu yangu akicheza game π ππππShanga kama shanga hahaha... sijui kwanini nimecheka sana hapo kwenye shanga/ cheni!
π π ππππKwanza kwanini hajajenga hadi leo?
Mambo ya kujibana bana kwenye nyumba za kupanga me sijazoea
Nimekumbuka zile cheni ulokua unamtumia mjuu wako humu simkumbuki jina achague babuuπππ€ π€ !!Hahaha..........sijui Mjukuu wangu ameandika nini tena hapa, unajua nilimwachia simu yangu akicheza game π ππππ
Hahaha...........πHuyo hela ataenda kununulia msosi abadili diet, asipewe tendaπ
Nahisi hata hiyo comment atakuwa aliandika huyo Mjukuu wangu tu π€ͺNimekumbuka zile cheni ulokua unamtumia mjuu wako humu simkumbuki jina achague babuuπππ€ π€ !!
Hana hela huyo ndio shida πHahaha...........π
Dogo mshamba_hachekwi fanya ukipata boom umtoea out Mjukuu wangu ili aanze kuizoea hela yako π
Utakufa imesimama babuuu hahahaaa.... kulaaa maishaaa furahiaa pesa yako kwaraha zakoo πππ€ !!Nahisi hata hiyo comment atakuwa aliandika huyo Mjukuu wangu tu π€ͺ
Ila miaka yetu ilikuwa raha ujue πππ
mzee wangu huyo kashanielewa.... nipe baraka yakoHahaha...........π
Dogo mshamba_hachekwi fanya ukipata boom umtoea out Mjukuu wangu ili aanze kuizoea hela yako π
Lakini ulimuhaidi utampenda kwenye shida na raha, tabu na mateso π πHana hela huyo ndio shida π
Mi Hadi Airtime naomba bana wee nahela zako utajua mwenyewee!! πππππ€ !Mwanaume majukumu lakini kizazi hiki kimezidi na vizuri kuomba unanpa muda na mwenzio kufanya majukumu yake mengine sio daily kiukweli inaboa
Me nilimwambia asome tu kwanza, hayo mengine aachie wakubwa zake π maana yako nje ya uwezo wakeLakini ulimuhaidi utampenda kwenye shida na raha, tabu na mateso π π
acha tu mzee wangu akiweka picha humu moyo wangu una-burst πLakini ulimuhaidi utampenda kwenye shida na raha, tabu na mateso π π
Umri huu sio rahisi MjukuuπUtakufa imesimama babuuu hahahaaa.... kulaaa maishaaa furahiaa pesa yako kwaraha zakoo πππ€ !!
Mjukuu wangu ni muelewa, najua anafikiria ombi lako πacha tu mzee wangu akiweka picha humu moyo wangu una-burst π
π lakini amesema boom likitoka atakupa loteMe nilimwambia asome tu kwanza, hayo mengine aachie wakubwa zake π maana yako nje ya uwezo wake
Usione vyaelea totoo πacha tu mzee wangu akiweka picha humu moyo wangu una-burst π
Kila la kheri Mkuu, muhimu ukamtunze Mjukuu wangu πmzee wangu huyo kashanielewa.... nipe baraka yako
Sasa maisha gani ya kutegemea boom babu, si nitapauka mie na kanikuta nashineπ lakini amesema boom likitoka atakupa lote
Anitunze wa hela gani, aku me sitaki π€£Kila la kheri Mkuu, muhimu ukamtunze Mjukuu wangu π