Si ndio, wao wenyewe ndio hua wanaharibu mapema.Hahahaha.................jioni nitakuwa na semina na Vijana, hoja yako lazima tutaijadili kwa kina.
Kumbe ni wao wenyewe ndiyo wanakosea, Point taken π€π π
Siwezi.Kapicha kidogo..
Natengeneza pamp. TuliAEm tuone na sie tutoe maoni yetuπ
Nitalusemea wewe ohoooNiliwasikia Vijana wanaongea kwenye kijiwe chetu cha kucheza bao.
Mimi kitambo nilistaafu Mkuu π πππ
Miss Lenie za kuambiwa changanya na za. Kwako aisee humu vidole ndio vinaongeaMbona sisi wengine hatuna gharama, tunaangalia upendo tu na attention yenu kwetu.
Ila nyie mnatanguliza hela, hapo sasa mnafanya tupende hela zenu kabla ya kuwapenda ninyi... yaani mnatukonfyuziiii hamjui tuπ
Kamekua kakubwa jiraniπ€£Siwezi.
Kwani mafundi wameenda wapiNatengeneza pamp. TuliA
Mara hii umeacha kuzurura tena ??Natengeneza pamp. TuliA
Mwanaume wa Dar katika ubora wakoWelcom lunch
Ni miongoni mwao mieKwani mafundi wameenda wapi
Kuwa na amani na Wazee πNitalusemea wewe ohooo
Nilifata vifaa nikarudiMara hii umeacha kuzurura tena ??
We acha tuKamekua kakubwa jiraniπ€£
Kumbe una vipaji vingi mwenzetuNi miongoni mwao mie
Wanaotoa ushauri wa kukufanya uwe na maisha ya mtindo fulani kumbe wenyewe maisha yao yana changamoto nyingi sana lakini kwenye kutoa ushauri wapo vizuri sana na ndio maana nakuaambia ukipewa maneno changanya na akili zako piaNaomba nifafanulie tasavali, me kichwa changu kizito nilikimbia umande ndugu yangu
Hahaha..............I wish ujengewe sanamu yako hapo City centerSi ndio, wao wenyewe ndio hua wanaharibu mapema.
Waambie bana wasiwe wanatuspoil sana, sometime watulishe mihogo sio kila siku wine na nyama chomaπ
Mjini hapa.Kumbe una vipaji vingi mwenzetu
Nijengeeni kwanza sanamu na mnipe maua yanguπ₯°Hahaha..............I wish ujengewe sanamu yako hapo City center
Wasiwasi wangu, ni kuwa utaendelea kuwa na huu msimamo hata utakapo ona boom mshamba_hachekwi limetoka π