Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Wale waliokaa kimaslahi kwakweli huwezi kuwapa bila pesa hata iweje.
 
Nyumbu Anasemaga Ukiona mzee mwenye hela katulia muite mbwaaa amekaa πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰paleeeπŸ˜πŸ˜‚!
Labda awe anaumwa 🀣🀣🀣🀣🀣
Mbona Wazee siye hatuna mambo mengi, yaani tumetulia kama maji ya mtungi 😁

Ila vijana sasa, mambo mia kidogo πŸ€ͺπŸ™Œ
 
Na mapengo Yao🀣🀣🀣ila kudate na mzee yatak moyo wa kigaidπŸ˜‚πŸ˜‚
Weee kuna vwazeee vijana mafiaa kinoumaaaaaa yani ni wadeadliii utakimbia mwenyeweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈ!
 
🚢🚢🚢🚢ila nyie kupewa Hela acheni tu hasa uwe hujaomba au unezidishiwa kiwango ulichoomba nyie roho burudaniiπŸ˜€πŸ˜€
 
Mbona Wazee siye hatuna mambo mengi, yaani tumetulia kama maji ya mtungi 😁

Ila vijana sasa, mambo mia kidogo πŸ€ͺπŸ™Œ
Hapo kwa vijana hapoo very true!

Mambo miambiliiii kidogoo 😁!
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Wale waliokaa kimaslahi kwakweli huwezi kuwapa bila pesa hata iweje.
nani hayupo kimaslahi ? ndoa yenyewe ipo kimaslahi aisee.. hakuna mtu anataka mtu asie na kitu .. huu ndio u sound wenyewe tunauita πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… kama huna kitu hata wewe mwanamke cha kumvuta mwanaume ni tabu na mwanaune asie na kitu cha kukuvuta ni tabu
 
🚢🚢🚢🚢ila nyie kupewa Hela acheni tu hasa uwe hujaomba au unezidishiwa kiwango ulichoomba nyie roho burudaniiπŸ˜€πŸ˜€
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Lazima uloe na hujaguswa hata khakhakhaaaa!!
 
🚢🚢🚢🚢ila nyie kupewa Hela acheni tu hasa uwe hujaomba au unezidishiwa kiwango ulichoomba nyie roho burudaniiπŸ˜€πŸ˜€
nzuri sana kupewa hela, hata mie hapa nina wish kupewa hata ka bilion hivi πŸ˜…πŸ˜… nitatue changamoto zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…