Selfika na JF: Snap it. Show it

babu nyie mna wa kuwapunguzia stress .

akizingua mke mnaenda kutulia kwa mchepuko
Hahaha...............hizo habari za michepuko wanazo Vijana, sisi Wazee tumetulia tu πŸ€ͺ

Kwanza huduma yenyewe kuipata ni hadi Jogoo awike, Jogoo mwenyewe anawika kwa mwaka mara moja tu masikini siye πŸ™ŒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
ah wapi babu , umedanganya anawikaje mara moja kwa mwaka .

wazee nyie ndo pisi kali zinawapenda hamna mambo mengi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…