mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,801
wewe sio lishangazi😆Nipo huku nazurura
View attachment 2631049
wewe sio lishangazi😆Nipo huku nazurura
View attachment 2631049
Wanasema Hela kwenye mapenzi ni kama Kitunguu kwenye Kachumbari 🙌
Ila hadi mwili kufikia huo Uzito ina maana mhusika anakuwa hajioni?🙌sure na linajipenda na kujikubali
huo mwili wa kuzaliwa naoIla hadi mwili kufikia huo Uzito ina maana mhusika anakuwa hajioni?🙌
Hahaa kivipi tenana hali ya hewa hizi Kuna mda inasaidia sana
Advertise here.Nipo huku nazurura
View attachment 2631049
NakaziaYaani daaah walikuwa na utulivu wa akili sanaaa nyakati hizo 😆 😆 😆
Aisee, mwenyewe uzito ukiongezeka kidogo tu najijua kuanzia ninapofanya mazoezi ya mwili na hata performance ya kazi za watu.huo mwili wa kuzaliwa nao
Nilikua na lengo zuri tu la kumuonyesha mshamba_hachekwi sura yangu, ila hyo Advertise here naona haikupenda totoo afurahi leoSasa mbona side mirror imeziba sura na Advertise here ???
Lishangazi nimetulia hapo, huoni?wewe sio lishangazi😆
I wish nikuone kasura chako, halafu unajua wewe ni damu yangu kabisa 😆 😆 😆Nilikua na lengo zuri tu la kumuonyesha mshamba_hachekwi sura yangu, ila hyo Advertise here naona haikupenda totoo afurahi leo
performance ya kazi za watu 😅😅😅😅Aisee, mwenyewe uzito ukiongezeka kidogo tu najijua kuanzia ninapofanya mazoezi ya mwili na hata performance ya kazi za watu.
Unajiona unavyokuwa mvivu kukamilisha 😅
binti mbichi kabisa wewe😂Lishangazi nimetulia hapo, huoni?
Nina sura la mshangazi, sio kisuraI wish nikuone kasura chako, halafu unajua wewe ni damu yangu kabisa 😆 😆 😆
Hahaa jipe moyobinti mbichi kabisa wewe😂
Kumbe umeona aiseee 😆😆😆Advertise here.
Wacha kuwaza mabaya kwa Wazee wako 😅performance ya kazi za watu 😅😅😅😅
upo makini sana
Hata kama una sura kama ya Whoopi Goldberg ndio wewe huyo inabidi ujikubali tu. Na tabia za Binadamu ni kutokuridhika lakini kwa suala la sura wakati mwingine ridhika tuNina sura la mshangazi, sio kisura
We wakwetu kabisa ndioo