Selfika na JF: Snap it. Show it

Hongera auntyangu lazima upasue wew kichwa wagoni hawana masikhara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua nikiwa uraiani mtu haamini km mie niko ktk taaluma ya mitamboo.

Sina life hilo kabisaaa, kuna siku tulienda ofisi Fulani na rafiki angu, kufika kule si nkamkuta jamaa ambaye siku ya graduu yangu ya 4m 6, akikuwepo yeye alikuja kwa ndugu yake.

Si akaanza kunihoji kuna watu walikaa pembeni acha washangae, kuna mdada pale pale alinipa 30k km pongeziii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hongera sana aunt 😍
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hapaana.
Watu wangehaha mbona engineer wa mchongo πŸ˜€πŸ˜€ ni mwendo maporomoko tu na nyufa πŸ˜‚πŸ˜‚na nilivo mbishi Sasa

Mjep kwani auntyangu kapata penz jipya nn ndo kafungiwa hatak hta kutupa hi
 
Hongera kipenzi 😍😍😍
Engineer Coca
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…