Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

ah wapi mie hata ukija na yako hapo , nikiamua kukataa nakataa .

Ghana sio nchi nayopenda [emoji23]
wazungu wameniharibu kichwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa huko unapotakaa si ndo mngefanya kuhamia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu naemsema mie mbna yupo hadi hapa sahiv anasoma, lilizuka jamboo kubwaa, ilikua 2020

Huyo dada ana hulka ya kiswandu, alikua anachukua picha humu anasambaza kwa wanaume. Sasa alichukuaga ya Makiwendo wakati huo akitumia Makiseo, sasa yule jamaa akamfata maki Pm na kumuonesha picha.

Ndo zagaa liliwakaa humu, muulize Anne akuambie.

Ndo kisa cha Maki, shunnie, Atoto na wengineo watimke mazimaaa humu.
Mbona Kiswandu hahahaaa......
 
Pole kwa kichapo aunt
Nishasusia team mie.
Kwanza sina baya na rangi ya blue 😂💙 Aaliyyah
 
Back
Top Bottom