Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear kumbe nawee unadanganyaaaa, nimechekaa, kwann ulimfanya mghana n daraja kwako.
Poor thing , niliona atanizingua tu , siku nzima hajibu sms πŸ˜‚πŸ˜‚ .

hehehe alikuwa na rafiki yake tukikaa pamoja wanaanza ongea kilugha tena , ndo nn .

mdogo aiseee , ndo kwanza 28 .
angekuwa 30's sawa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Poor thing , niliona atanizingua tu , siku nzima hajibu sms [emoji23][emoji23] .

hehehe alikuwa na rafiki yake tukikaa pamoja wanaanza ongea kilugha tena , ndo nn .

mdogo aiseee , ndo kwanza 28 .
angekuwa 30's sawa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear unanichekeshaa mnoooo jomoneee. Khaa kwan asinge kuwezaa??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear unanichekeshaa mnoooo jomoneee. Khaa kwan asinge kuwezaa??
Ah Alikuwa ana haraka sana yule πŸ˜‚πŸ˜‚
siku ya pili tu ananita wife hehehe anataka niende Ghana .

basi siku moja twapiga stori namwambia nyie wacheza mpira hamkai na familia , anaona poa na kubisha jukukumu la kulea watoto ni la mama tu .
 
Wewe sio "mdada wa mjini".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…