SipajuiPa siku zote
KisuUmetumia nn kukatia π₯Ή
Na muda ulikuwa nao πKisu
sijamaliza bado iyo ni karot oho na tango tango nimemenya so bado ikikamilika nakuitaππNa muda ulikuwa nao π
Kwahiyo umeacha kukata ukaja kuchat?sijamaliza bado iyo ni karot oho na tango tango nimemenya so bado ikikamilika nakuitaππ
Heshima yako chiefHeri ya Dominika wana selfika
Salama chiefHabari wanaselfika
Poaaah!!"
mwanangu una ujuzi wa kukata perfect π
Salama kiongoziHeshima yako chief
kuna watu wanajua ngeli hadi raha πππ.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee
Woooooowwwww!!!![emoji1702]View attachment 2629910
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hukumpiga picha nawee?? Jomonee kuna mikaka mizuri wee acha tyuuh.kuna watu wanajua ngeli hadi raha [emoji23][emoji23][emoji23].
sio mie mpaka niload weh .
kuna siku nimekutana na footballer mghana nikasema haya ni mambo yako kabisa ..
jamaa is sweet basi tu nilizingua [emoji23][emoji23][emoji23]