Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,867
Kwamba itakuwajehunitakii mema wewe....
Kwamba itakuwajehunitakii mema wewe....
Thatha 🤣🤣🤣Sema sasa
naifunga hii mada😅Kwamba itakuwaje
Emu tuone beforeNimetoka kunyoa bhna ndevu ninazo 😂😂
Pole jamani 🤣🤣Thatha 🤣🤣🤣
🤓🤓🤓Siku hizi liizy umekua dr
😂😂😂thikupiga pichsEmu tuone before
Athante ila thinawea ponaPole jamani 🤣🤣
Thio vidhuri bana.😂😂😂thikupiga pichs
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vawulensiii si unaanza wee.mbona violence tena rafki yangu kosa langu liko wapi [emoji28]
basi basi yaishe 😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vawulensiii si unaanza wee.
Ndio ushafail 😂Huu Uzi nilitamani sana niwepo SEMA kazi zikanitinga apa ofisini😂😂 Sasa nimerudi kufukuza mwizi kimya kimya
Ngoja amalize shule aje mtaani ndio atajua hajui 😂Muhimu nalipa PAYE
Usitake kunichanganya 🤣🤣
Cc Lenie huyu totoo kisa anasoma MU ya Mbeya anataka kujikuta Loya au hechiara
Inaelekea moto uliwaka sanaNdio ushafail 😂
Wee unaniachajee shougaaaaangu nisubirie twende wotree banaaa mbona kupatwa kwa selfikaaa ☺️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️!!Yaan napoteza appetite kabisaa, tena selfikaaa ndo kabisaaaaa,
Now nimezamia jukwaa LA sports huko ndo nako chill sanaa.
Poaaa poaaa Fwendiee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]basi basi yaishe [emoji28]
Mtaa unamshangaza 1st ajira anaipata akiwa na 29 🤣🤣Ngoja amalize shule aje mtaani ndio atajua hajui 😂
Hapo ukute kashapanga akimaliza chuo fasta anapata kazi salary ya wan pwenti faivu, anahama home anahamia kwa apatiment zen by 25 anakua anamiliki nyumba na gari.
Twendeee fanya upaki mabegii harakaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee unaniachajee shougaaaaangu nisubirie twende wotree banaaa mbona kupatwa kwa selfikaaa [emoji3526][emoji2212][emoji2212][emoji2212][emoji2212]!!