mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,804
hapo hapo.... mwaka jana field nilifanyia TANAPA-kisongo saivi nataka niombee pale NCAASekta gani
Au utakuja huku pori tudake simba
hapo hapo.... mwaka jana field nilifanyia TANAPA-kisongo saivi nataka niombee pale NCAASekta gani
Au utakuja huku pori tudake simba
Ya Jr hayaa dear mi nishaacha kula mayai nina zoezi la kupunguaa kuwa kama Saint Anne !Duuuuh hadi nimetamaniii, mbna ningepeleka kwa mama swaumuuu akaniwekee zegee LA kiepee mihogo,
Mbna unafaidi hivyoooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasubiriii mie huku.Hahahaaa utauona tu relax
Asa si akili za pombe ndio zimeongea 😂Nyie ndio mkiwa bar mmelewa mnatuambia tutume CV.
Pakikucha mnatukataa 🤣
hapo hapo.... mwaka jana field nilifanyia TANAPA-kisongo saivi nataka niombee pale NCAA
Nenda uzi wa Dar vs Nairobi utawakuta wapo active 😂
kwetu njiro sio tengeru 😅Kisongo mpk kwenu Tengeru mbona km ulikuwa unateseka 😂😂
NCAA utanikuta nimeleta punda niliodaka crater
Hebu tendea uzi hakii kwanzaa uibles Jioni Yangu mie!
Mzima bro?
Njiro sehemu ganikwetu njiro sio tengeru 😅
Ni katika Uzi ambao niliwahi usogelea mara moja nikakuta watu wanabishana Kwa fact😂🙆 na mm nabisha Sina fact Nika unsubscribe 😂Nenda uzi wa Dar vs Nairobi utawakuta wapo active 😂
Yah vp Hali yako bi mamaMzima bro?
Kumbeeee basi sawaa,Ya Jr hayaa dear mi nishaacha kula mayai nina zoezi la kupunguaa kuwa kama Saint Anne !
Mzee niaje ? Kesho nitakuwa hapo kati kati makao makuu masaa kadhaaHahahaaa utauona tu relax
tanescoNjiro sehemu gani
Glad you are back in business 🤝Mzee niaje ? Kesho nitakuwa hapo kati kati makao makuu masaa kadhaa
🤣🤣 kule kama huna maelezo wala picha clear watakupopoa ujuteNi katika Uzi ambao niliwahi usogelea mara moja nikakuta watu wanabishana Kwa fact😂🙆 na mm nabisha Sina fact Nika unsubscribe 😂
tanesco