cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,379
- 188,094
Yaan napoteza appetite kabisaa, tena selfikaaa ndo kabisaaaaa,Polee dearr mi kila siku nakwambia tumia browser huelewi kwa app picha hazifunguki!
Kwa uzee gani ulonao mtrotro kigoriiii kabesaaa ptuuuuu wazee hutuoni hapa[emoji3526]!!
Jf imevamiwaaa hadi kinyaaa sikuhizi imepoteza mvuto kabisa!!
Now nimezamia jukwaa LA sports huko ndo nako chill sanaa.