Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Picha hata sioniiii, hii app khaaaah.

Afu mwenzio napoteza appetite ya JF sijui uzee sijui nn aaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Polee dearr mi kila siku nakwambia tumia browser huelewi kwa app picha hazifunguki!
Kwa uzee gani ulonao mtrotro kigoriiii kabesaaa ptuuuuu wazee hutuoni hapa☺️!!

Jf imevamiwaaa hadi kinyaaa sikuhizi imepoteza mvuto kabisa!!
 
Back
Top Bottom