Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,917
- 31,764
Sikuhizi wanaimbamapenzi yangu yaweke usiyatowe asilani
mapenzi yangu yaweke usiyatowe asilani
mapenzi yangu yaweke usiyatowe asilani
Penzi Lina Raha yake asiejua ni nani *2
Penzi mfano wa pete uvaapo kidoleni*2
Mapenzi Matamu niwapo nawe mpenzi sioni mwengine wakufanana naww, nitalienzi penzi lako sitokuacha asilan
UKIIMBIWA HIV UNAHIS NCHI HAINA TRA
WALA TOZO😂😂😂😂 NGOJA UKANYAGE HAPO NJE.
Soon ntakusave na love emoji nitoe official name…