Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,877
- 37,676
Tin🤣🤣🙌Mie mwenyewe napenda kweli mapenzi sema hayanipendi 😂😂
Tin🤣🤣🙌Mie mwenyewe napenda kweli mapenzi sema hayanipendi 😂😂
Mie ambacho sipendi kupigiana simu saa tano usikuraha sana kusumbua mtu usiku 'bebi umekula??' eti 😂
Si ndo hapo Sasa 😂😂Shida zipo Tu pale pale ila Kwanza
Mapenz yatupe Raha😂😂😂😂
bora uniite dogo tu nikupe shkamoo zako 😂Msomali 😂😂
Usifanye hivyo sasa 🤣🤣😀😀😀nielekeze kwanza ndo napitia leo huu uzi eti
Sawa totoo 🤣🤣bora uniite dogo tu nikupe shkamoo zako 😂
nyie sasa ndo mnaongoza kwenye aina hii ya usumbufu....Mie ambacho sipendi kupigiana simu saa tano usiku
Hapo kwenye tozo kama jua kali lazima ununuliwee sasa azawaizi pambana nahare yakoo tyuu no way😂😂😁!Kweli dear kama huenjoy mapenzi na mwenzako jamni na unaishi nchi ya tozo utaishije sasa😂😂😂jua lilivo Kali
Asante dear ,Unaweka vitu moyoni dear acha yapite usijihukumu Kwa makosa sio Yako mtu ulimpenda hakupenda Kosa lako hapo nn?
Au ulimpenda akucheat Kosa lako hapo Nini?
Kias usiishi maishayako dear
Huyo aliekufanya ukajisikiavibaya yeye nae amekaa anasubir wew upone au anafanya yake wew shupaza shingo hivohivo 😂😂
shwari kabisa dada yangu😅Sawa totoo 🤣🤣
Marahaba, unaendeleaje?
🤣🤣🤣🤣UKIIMBIWA HIV UNAHIS NCHI HAINA TRA
WALA TOZO😂😂😂😂 NGOJA UKANYAGE HAPO NJE.
Hao labda anda 25.nyie sasa ndo mnaongoza kwenye aina hii ya usumbufu....
Shida zikae pemben Kwanza nifrahishe mtoto WA mtu mapema kabla haja give up 😂😂😂Hahaha anza tu 😂😂😂
😂😂😂😂unkuta sukar kilo elf 5mapenzi yangu yaweke usiyatowe asilani
mapenzi yangu yaweke usiyatowe asilani
mapenzi yangu yaweke usiyatowe asilani
Penzi Lina Raha yake asiejua ni nani *2
Penzi mfano wa pete uvaapo kidoleni*2
Mapenzi Matamu niwapo nawe mpenzi sioni mwengine wakufanana naww, nitalienzi penzi lako sitokuacha asilan
UKIIMBIWA HIV UNAHIS NCHI HAINA TRA
WALA TOZO😂😂😂😂 NGOJA UKANYAGE HAPO NJE.
Mambo dearTin🤣🤣🙌
😂😂Upo dear mzima🤣🤣🤣🤣
🤣🤣Asikwambie mtu kwanza kufa nje nje mbinguni sijui kma nitafika au nitaenjoy Hela Sina kilichobaki kugandana na mtoto wa mtu 😂 ama nene