Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,201
Hongera sana kula maishaMadam sikufichi, naenjoy kinyamaa😍😍😜
Mimi naona Raha ya kuwa single yaani unakuwa free unaweza kunywa maji hata kwenye jagi hakuna wa kukuuliza 😂😂😂
Hongera sana kula maishaMadam sikufichi, naenjoy kinyamaa😍😍😜
Ukisikia njaa, unajiambia baby tukale😜😂Hongera sana kula maisha
Mimi naona Raha ya kuwa single yaani unakuwa free unaweza kunywa maji hata kwenye jagi hakuna wa kukuuliza 😂😂😂
kutooa sio tatizo ila you have to get some 😂Kwamba hautaoa na wewe ??
Alijikaza kiume dah
Ya mbele siyajui, ila iam just focusing nowKwamba hautaoa na wewe ??
Nahhhh, unataka kunipoteza😂😂kutooa sio tatizo ila you have to get some 😂
Hehhe some what 😂😂kutooa sio tatizo ila you have to get some 😂
sasa wanawake mnaona raha gani, muwe single msiwe single, hela haziwatoki....Hongera sana kula maisha
Mimi naona Raha ya kuwa single yaani unakuwa free unaweza kunywa maji hata kwenye jagi hakuna wa kukuuliza 😂😂😂
Ndo nyie 42 unatafuta jiko .Ya mbele siyajui, ila iam just focusing now
najua nafsi yako inakusuta 😂Nahhhh, unataka kunipoteza😂😂
Madam sikufichi, ain't doing that kind of stuffNdo nyie 42 unatafuta jiko .
Kwani mi Nina ninininini 😀😂😂najua nafsi yako inakusuta 😂
😂😂😂Au unagonga mlango unaingia ndani unafungua mwenyew alafu unasema waooh bby 😂😂😂Ukisikia njaa, unajiambia baby tukale😜😂
Kwani tatizo ni ela 😀si mngesema tu tusiwaombe😂sasa wanawake mnaona raha gani, muwe single msiwe single, hela haziwatoki....
yupo kweli?? mi naona ni fairytales kama kwenye cinderella 😂Hehhe some what 😂😂
Anyway kuoa ni nzuri hasa ukimpata mnayependana na chaguo lako .
maisha sio marahisi hivyo....Kwani tatizo ni ela 😀si mngesema tu tusiwaombe😂
Jinga Sana 😀😂😂😂😂😂Au unagonga mlango unaingia ndani unafungua mwenyew alafu unasema waooh bby 😂😂😂
Eti Cinderella, kaangalie hotel transvania ni 🔥🔥yupo kweli?? mi naona ni fairytales kama kwenye cinderella 😂
Siku moja mkaka kanisani kasema hivi yeye haoi maana huduma zote anapewa kbla ya ndoa , ndo maana haoni haja kuvuta jiko .Madam sikufichi, ain't doing that kind of stuff
Na kwanini nizigawe au chezea pesaa😂😂maisha sio marahisi hivyo....