donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
[emoji4][emoji4]
kiti hicho mkuu hakikuumizi??
Naah....it's comfortable enough. 🙂kiti hicho mkuu hakikuumizi??
hata hivyo kama ni cha kazi hakitakiwi kiwe comfortable😂Naah....it's comfortable enough. 🙂
Mbona jibu ni 0 mkuuu 🤔🙄🙄 au nimekosea[emoji4][emoji4]View attachment 2625430
Jaman sasa nidanganye nakuja wkt sijui jins yakwenda huko.ndio style yako ya kukataa wanaume. Naon😀
Number ya simu unayo? au unatumia WiFi😃Jaman sasa nidanganye nakuja wkt sijui jins yakwenda huko.
Ninayo.😂Number ya simu unayo? au unatumia WiFi😃
Huu wimbo siku ya kwanza kuusikiliza sikumbuki niliurudia mara ngapi.Napenda sana nyimbo za style hii na ni kali sana pia.Sipendi manyimbo ya kupayuka payuka hovyooo.View attachment 2625463
Wale wa ng'ambo ile wanauliza mmevukaje?
Na ng'ambo hii wanajibu mnashindwaje?
Ulionalo gumu kwa mwingine rahisi...
Ulionalo rahisi kwa mwingine ni gumu...
Kamwe Mapito yanatofautiana......
Tutiane moyo sote maana safari ni moja.
Sababu tunategemeana, tegemeana x3
.......................
Huyu Mjukuu, amefanya leo nilime eneo kubwa hapa shambani huku nikisikiliza nyimbo zake.
Isingekuwa Betri kuisha kwenye redio yangu ya Mkulima, huenda ningemaliza ekari 2 leo kwa kulima 😜🤗
Babee nakutafuta kuleWananchiiiii[emoji169][emoji172][emoji169][emoji172]
View attachment 2625561
Leo kule sipo babe!..nicheki PM💛💚💛💚
True dat!hata hivyo kama ni cha kazi hakitakiwi kiwe comfortable😂