Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Bora utumike kwa mtu mmoja na sio juma Leo kesho allyWa aina hii huwa wanatumika sana
Bora utumike kwa mtu mmoja na sio juma Leo kesho allyWa aina hii huwa wanatumika sana
HeheeJau sana[emoji23] inaleta stress....
Hahaha hapo ni maumivuWhat if shoo hakuna kabisa 😂😂😂
Watu hadi wanaoa kienyeji wanaishi geto moja.... Wanaspend boom pamoja[emoji23]Hehee
Nikiwa high school hapo ndo nilianza kuona wanafunzi wetu wanatoka hostel kwenda kwa baby zao .. Wakirudi na makange hao tunakula na kuenjoy ..
Tatizo Juma na Ally wantofautiana vipato, mwonekano na mvuto n.k manzi anaona atoke nao wote tu ili afaidi vyoteBora utumike kwa mtu mmoja na sio juma Leo kesho ally
Saivi si tuna Ile protocol ya 'cash only, njoo geto'[emoji23] maumivu yamepunguaHahaha hapo ni maumivu
Sema huyo mwanamume atakuwa ni mzembe. Pesa haiwezi kutoka hivihivi wewe [emoji28][emoji28]
Ngoma chuo kikiisha , wanaachana duhWatu hadi wanaoa kienyeji wanaishi geto moja.... Wanaspend boom pamoja[emoji23]
Mwonekano sio big deal . I think cha muhimu ni upendo . ukipenda hutoangalia looksTatizo Juma na Ally wantofautiana vipato, mwonekano na mvuto n.k manzi anaona atoke nao wote tu ili afaidi vyote
ila na sisi wanaume tuna makosa, unatakiwa uweke mipaka kwamba uko tayari kupoteza shingapi.....Ngoma chuo kikiisha , wanaachana duh
Kila mtu kwao
Hehehe msiweke , toeni warembo wafurahi .ila na sisi wanaume tuna makosa, unatakiwa uweke mipaka kwamba uko tayari kupoteza shingapi.....
haziokotwi sasa😅 wengine swaga hatuna itabidi tu mtaka cha uvunguni uiname....Hehehe msiweke , toeni warembo wafurahi .
Yeah au ile kimtoko unamaliza hukohukoSaivi si tuna Ile protocol ya 'cash only, njoo geto'[emoji23] maumivu yamepungua
Pesa ni motivator , ukimspoil mdada anafurah , mwisho wa Siku show ya kibabe 😂😂😂haziokotwi sasa😅 wengine swaga hatuna itabidi tu mtaka cha uvunguni uiname....
Bajeti muhimu sana hasa wa hit and run huwa wanazingatia sana kwamba mpaka tunda liliwe matumizi yangu yasizidi kiasi fulaniila na sisi wanaume tuna makosa, unatakiwa uweke mipaka kwamba uko tayari kupoteza shingapi.....
cost evaluation 😅Bajeti muhimu sana hasa wa hit and run huwa wanazingatia sana kwamba mpaka tunda liliwe matumizi yangu yasizidi kiasi fulani
hebu imagine wewe ni mwanaume uliyefulia.... afu una ugwadu😂 kila mahali mizinga utajiskiaje??Pesa ni motivator , ukimspoil mdada anafurah , mwisho wa Siku show ya kibabe 😂😂😂
Huwa inauma sana utoe pesa af ukute shoo mbovu 😅Pesa ni motivator , ukimspoil mdada anafurah , mwisho wa Siku show ya kibabe 😂😂😂
hapo unatafuta manzi simple unayejua hapo ghetto ni kwako , utamnunulia chipsi kuku na elfu kumi ya asante/usafiri.hebu imagine wewe ni mwanaume uliyefulia.... afu una ugwadu😂 kila mahali mizinga utajiskiaje??
Hilo muhimu sana la sivyo utajikuta haufanyi maendeleocost evaluation 😅
Kumbe eehHuwa inauma sana utoe pesa af ukute shoo mbovu 😅