Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Hakika , sisi wote watoto wa Mungu , haijalishi unaposali .Kabisa.
Hongera bado ulijitahidi kwenda kuabudu
Yeah angalau kama hapa napata muda wa kulitafakari neno la leo
Yeah family time pia unapata .
Kwangu family is everything