Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Ah wapiUmetoroka church leo, nimekuona unatoka kabla ya misa kuisha😅
Nimekaaa hadi mwisho
Ah wapiUmetoroka church leo, nimekuona unatoka kabla ya misa kuisha😅
why the sad face??Morning 😌
Marhaba, umeamkaje ?sijambo dada shkamoo....
Read it again 😂, angalia kwa umakini hiyo emoji.why the sad face??
Naona interview imeanza😂 shem @yes34nbe usiangushe point sasaNaomba niulize
Why una weird ID
Maana yake pia ??
Siwezi angusha mkuuu, siachi maksi hata moja 😅😅Naona interview imeanza😂 shem @yes34nbe usiangushe point sasa
Akya nani 😂😂Naona interview imeanza😂 shem @yes34nbe usiangushe point sasa
dah, nina ushamba kidogo😂Read it again 😂, angalia kwa umakini hiyo emoji.
salama kabisa, nikiwa na afya njema....Marhaba, umeamkaje ?
Tinsley huu mkataba umesha saini?? 😀Ewaaa shem umewasili, naomba unipigie tafu kwa kipenzi wangu huyo, ndege wangu asijekunipotea 😊😊😊
Mshamba hachekwi😂😂😂dah, nina ushamba kidogo😂
Mwenye dada hakosi shemeji😂Akya nani 😂😂
weekend inaenda fresh?? 😂Mshamba hachekwi😂😂😂
Pambania sasa, katoka kuungama leo kwa hiyo yuko fresh😂😂Ata u sign tu kwa lzm 😀😀😀
Document zipi tena jamani,, 🙄🙄🙄🙄hajawasilisha document zozote , nawezaje saini 😂😂
ye34nbe changamkahajawasilisha document zozote , nawezaje saini 😂😂
Ulijua maneno yanatosha😂 kuna mwanasheria wa familia kabisa na utahojiwa na ukoo mzimaDocument zipi tena jamani,, 🙄🙄🙄🙄