Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,774
- 54,845
Poa. Ulikuwa kanisani?za asubuhi nyie watu....
Poa. Ulikuwa kanisani?za asubuhi nyie watu....
Karibu sanaNimewamiss sana ndugu zangu
ndio mzee...Poa. Ulikuwa kanisani?
Mpaka nione yako kwanza 😉Mwenyeji umepost nn?? Mie sioni picha aaah.
![]()
Uko adimukabisa bro....
Hongera sana. Tupe upako mzee babandio mzee...
Nafasi yako kama mwanamke mzuri,Nafasi Yangu ipi
Mie sio mtundu
mimi mgeni humu mzee....Uko adimu
Mambo poa. Unaendeleaje?Hahaha Mambo
za asubuhi nyie watu....
Ukichungulia mara moja then ukaingia wewe si mgeni tenamimi mgeni humu mzee....
we tulia mzee😂Hongera sana. Tupe upako mzee baba
Anha okayNafasi yako kama mwanamke mzuri,
😀😀😀 Nasubiria kofuli lifunguliwe lkn 😜😜😜😜😜
Mdogo wako nani tena mkuu, 😳Anha okay
Umemuona mdogo wangu
kama ndo hivyo basi sijapotea niponipo tokea mda 😂Ukichungulia mara moja then ukaingia wewe si mgeni tena
Yeah ndo uzuri wa Tinsley utafundishwa maandiko utakuwa church boyNgoja niendelee kumpiga ma verse hapa atakuwa ananifundisha neno la Mungu, aseee maana nimekuwa mvivu wa kulisoma 😒😒😒😒
Nashukuru Mungu vipi wewe ?Mambo poa. Unaendeleaje?