🤣🤣🤣🤣 wewe haujaenda nshakushtukiawe tulia mzee😂
Mashangazi wameniambia nijiandae ‘ anytime soon 😂😂😂Kwanini utulivu ghafla hivyo..?
Kwani Ile mahari tayari..?🤭
Unaona sasa😂😂kama ndo hivyo basi sijapotea niponipo tokea mda 😂
PeterrabbitMdogo wako nani tena mkuu, 😳
za asubuhi nyie watu....
nimeenda mkuu kuna vitu nimesahau 😂🤣🤣🤣🤣 wewe haujaenda nshakushtukia
Mi niko poa nauona mkono wa Mugu maishani mwangu, Mungu ni mwema.Nashukuru Mungu vipi wewe ?
Umeenda church mpendwa
umeenda kanisani leo😂Marahaba totoo
Oooh alisema mna undugu,,
Naamini sasa utapambania neno la Mungu 🤣😂🤣Mi niko poa nauona mkono wa Mugu maishani mwangu, Mungu ni mwema.
Nimeenda ndio nimerudi mud si mrefu hapa
Ahaha haya bana hongera sana. Huwa nafurahi kuona vijana wanamkumbuka Muumba siku za ujana waonimeenda mkuu kuna vitu nimesahau 😂
nani asiyetaka kwenda mbinguni mzee wangu 😂Ahaha haya bana hongera sana. Huwa nafurahi kuona vijana wanamkumbuka Muumba siku za ujana wao
Kweli mkuu maana mengine yote ya dunia ni ubatili ni kujilisha upepo. Nataka nijiunge na kikundi cha kwaya kabisa 🤣🤣🤣Naamini sasa utapambania neno la Mungu 🤣😂🤣
Oh AmenMi niko poa nauona mkono wa Mugu maishani mwangu, Mungu ni mwema.
Nimeenda ndio nimerudi mud si mrefu hapa
Ni kweli aisee mbinguni kutamunani asiyetaka kwenda mbinguni mzee wangu 😂
Ndio ni ndugu Yangu 😂😂Oooh alisema mna undugu,,
Hivyo hapo mbeleni natumai ntaanza kumuita shem, 😉😀
Kabisa.Oh Amen
Hakika Mungu ni mwema
Sijaenda naposaligi , kuwahi kutoka raha sana .