Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Mazuri sana
Bei imekoje
Mazuri sana
Hayo ukitaka unaenda veta au fundi welding mzuri anakutengenezea.Mazuri sana
Shwari kabisaaa kijana ,za wewemambo binti 😂
Wengi wanaanzia na lako 4 Ila maogezi yapo.Mazuri sana
Bei imekoje
Lazima nikukumbushe uweke alarm kabisa .umeshanikariri kiasi hicho 😂
nzuri, unapita tuu huselfiki nataka nikuone 😂Shwari kabisaaa kijana ,za wewe
Parefu bora LA umemeWengi wanaanzia na lako 4 Ila maogezi yapo.
ntaenda ya pili kuamka saa 12 jau 😂Lazima nikukumbushe uweke alarm kabisa .
Bei zinategemea ukubwa, yapo madogo kabisa. Ila hata kwa fundi welding ukiwa na picha anakutengenezea kwa bei Poa.Parefu bora LA umeme
Unapata kwa bei nafuu .
Kijana mdogo acha uvivuntaenda ya pili kuamka saa 12 jau 😂
kesho amka asubuhi mapema uwahi kanisani, umeniskia?? 😂Bei zinategemea ukubwa, yapo madogo kabisa. Ila hata kwa fundi welding ukiwa na picha anakutengenezea kwa bei Poa.
Mida bado ,🤣nzuri, unapita tuu huselfiki nataka nikuone 😂
Hilo hadi uwe una pakuliwekaBei zinategemea ukubwa, yapo madogo kabisa. Ila hata kwa fundi welding ukiwa na picha anakutengenezea kwa bei Poa.
nisipolala saivi ntakuja kuteseka nikiwa na majukumu huko uzeeni 😂Kijana mdogo acha uvivu
Mi naamka sa kumi ss
Wahi kuamka ww😅
kesho amka asubuhi mapema uwahi kanisani, umeniskia?? 😂
Yapo madogo. Hilo ni kubwa la biasharaHilo hadi uwe una pakuliweka
Labda umepanga stand alone sio nyumba za kupanga chumba kimoja .
vizuri sana hapa Tinsley amepata mchumba 😂Kesho Niko zamu bro, mimi ni mpiga kinanda pale kwetu😂
Sipendi majiko ya mkaa kukaa nayo ndaniYapo madogo. Hilo ni kubwa la biashara