Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hehehe utanisumbua
Napenda older guys wako matured sana , nyie vijana manawaza sketi tu 😂😂
Sasa wawaze nini kama sio sket??
Mimi sio kijana, kwa sasa ni mtoto Ila nitakula hamira chap niwe mzee hapo vp😅
 
Sasa wawaze nini kama sio sket??
Mimi sio kijana, kwa sasa ni mtoto Ila nitakula hamira chap niwe mzee hapo vp😅
Watafute pesa jamani ,
The Bible says ikimbieni zinaaa

Wazee wako caring and affectionate too
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Selfie ziendeleee
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji172][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji172]
IMG-20230513-WA0003.jpg
 
Aloo
Sijui ninywe bia ngapi[emoji91][emoji172][emoji169][emoji169][emoji23]
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Back
Top Bottom