Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

hujataka tu endelea kusibiri subiri utakuta mwan si wako. Kuna mwenzako alijaribu late akashika mimba miezi miwili kapoteza dalili akajua kaingia menopause. Later baada ya miaka 28 akazaa mtoto ana ndevu😀
😂😂😂😂Kha
 
Afanye hivyo jamani
Sema ila dunia hii kuwa single mama ni kazi , ngoja asubiri
Tena Sio ndogo 😀 😀
Alafu nimelewa kwenye familia ya baba na mama Kuna zile moment kuwa na mama na baba 🥰🥰
nilishajiwekea mipaka na huwa Niko real nasemaga wazi Nini nataka
Na nikizaa ni Kwa hiyariyangu sio kimfurahisha mtu Hapana
 
Raha mtoto kulelewa na baba na mama .
Mambo ya kusimangwa na uachwe sio poa .
Yeah au ndo itokee tu .
 
Raha mtoto kulelewa na baba na mama .
Mambo ya kusimangwa na uachwe sio poa .
Yeah au ndo itokee tu .
Inatokeaje bila mwenyew kutaka, Wanaume wema sana wakitaka jambo lao wakishatimiza Huwa wanabadilika hajali umemzalia au vipi na anaweza akajali mtotowake sana tu ila kuhusu wew ndo utajua hujui 😀😀
 
Inatokeaje bila mwenyew kutaka, Wanaume wema sana wakitaka jambo lao wakishatimiza Huwa wanabadilika hajali umemzalia au vipi na anaweza akajali mtotowake sana tu ila kuhusu wew ndo utajua hujui 😀😀
Kuna zile za Bahati mbaya
Mimba inaingia bila kupanga .

Mwingine anawatekeleza wote , mtajijua wenyewe 😂😂😂 .

Ni kama kuachwa vile , unakaa unampenda weeh , Mara ghafla MTU kakuacha .
 
Back
Top Bottom