Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,437
- 54,911
Ahsante.... Nimefurahi piaUsipate shida weeView attachment 2620382
Ahsante.... Nimefurahi piaUsipate shida weeView attachment 2620382
Hivi unajua Depal ni pisi kali eeh shauri yako!Ila ijumaa nitaenda tena
Umeselfika mda gani, mbna mie cjaonaa??Hehehe you're funny
Nimeselfika hapo juu , ila nimefuta .
Utamweleza nn mama kichanga![]()




Najua ilo na ana kithembe 😂😂Hivi unajua Depal ni pisi kali eeh shauri yako!
wewe peke yako ndio umeona nimejisifu😀Mwanaume unajisifiaje kuwa mweupe 😂😂😂😂
mshamba_hachekwi umesoma hapo juu
Mke mwenza unaninyanyasa nimemiss Yale meno meupe naombapo uniblessUmeselfika mda gani, mbna mie cjaonaa??
![]()
Kumbe hata hujawahi kuongea nae!Najua ilo na ana kithembe 😂😂
Sawa hongeraAhsante.... Nimefurahi pia
Ngoja nikuwekee hapaaa, navopenda kuke nua sasa.Mke mwenza unaninyanyasa nimemiss Yale meno meupe naombapo unibless






Pumbavuuuuuu 😂😂😂 mizigo ipi umesikia natokea kigoma?wewe peke yako ndio umeona nimejisifu😀
anayejisifu ni mtu anayejichubua sasa babu yangu alikiw mjerumani. Kuwa makini usisahau mizigo yako ukishuka ndani ya bus
Koma wewe 🤣🤣Najua ilo na ana kithembe 😂😂
Nitaongea nae soon bhnaKumbe hata hujawahi kuongea nae!
Hapana ni utumbo wa UziKweli ni passion twist
dada yake ana mwaka na miezi 9 huyu ndio ana mwezi.
Ndiyo shemeji. Hakajui hata sauti yangu ikoje 😂😂 ila kananiambia nina kithetheeeKumbe hata hujawahi kuongea nae!
Koma wewe 🤣🤣
Nilikwambia ulete namba nikupigie
Ukaogopa
Weka fasta nakopi unafutaThatha jamani nikiweka hapa namba yangu si itachukuliwa kama kuku wanavyo donoa mchelr
Naona anamix mafile😅Ndiyo shemeji. Hakajui hata sauti yangu ikoje 😂😂 ila kananiambia nina kithetheee