National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Mambo mengine unayakubali ili upone, ila kama unawaza sana inauma sana. Mie jumapili nimepoteza wangu wawili, jumatatu nikapoteza mmoja wa kaka yangu ambae wife wake alikuwa kwangu.. ila yote yamepita.. tumeaanza maisha mapyaaa naumia Kwa huruma Kwa mke wangu ndio Ina mtesa zaidiJina la BWANA lihimidiwe.
Kwema kabisa.
Natamani ningeweza kufanya recovery kama yakwako. Tangu August 26 na bado kuna wakati inafeel kama ni juzi tuu. New normal is never easy. Uko strong sana. Pole na hongera kwa kuipokea hali mapema, inasaidia kuvuka maombolezo mapema.