cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,289
Nimefika tu nikakuulizia kivuruge wangu. Nani huyo alikukomesha na uliyabananga yapi tena?
Jamani utulie unipe story za chimbo





kwa kweli nitulie tyuuh.Nipo chimbo hapa nakula ubuyu kwanzaaa.




,,, it was going to be soon tho