Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,095
- 41,711
Ndio ni kijana wa Miaka 19Kumbe yupo kwa mashangazi. Nilikuwa sijui 😳😳😳
Nimeona picha yake hapo juu ni kijana mdogo anda twenti faivu sasa mishangazi tena ya nini jamani?
Hasa anataka kuona picha za shangazi mi ,😅
Maana kule kwenye kikao chao MMU wamekubaliana kuanzia miaka 35 kwenda juu ni mashangazi 🤣🤣