Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
Hapa rahaaaa tuuuuuuWEEEEHHH WEEEEEEHH WEEEUUUUWWEEEEEEEHH🕺💃💃🤸🤸🤸🤸🤸🤸💛💚🤸🕺🕺💃
Nina furaha hakuna tena. Hii Yanga navyoipenda kama moyo wangu. Aaaw maneno yameniisha, nimekabwa na raha plus furaha... leo tunatoa yooooteeee 🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️WATU WEUWEEEEEEEEEEEE🔊🔊🔊🔊🔊📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢
PIGA KELELE KWA YANGA YAKE...WEUWEEEEEEEEEEEE💛💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛
PIGA KELELE KWA MORI YAKE WEUWEEEEEEEEEEEE💚
PIGA KELELE KWA ZIZ AKEEEEE WEEEE WEEEEE WEEEEE WEUWEEEEEEEEEEEE....💛
SISI NDIYO YANGA BWANAAAAAA🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣✌️✌️✌️✌️
Shemdarling nisiposhabikia wananchi nitashabikia ujinga gani?Wewe ni yanga shemdarlin?? Sogea mpesa chaaap
Mie nilishaselfika sana humu, siku hizi nimewaachia nyie🤣🤣🤣Raha sana mrembo selfika basi 💃💃💃💃💃😂😂😂😂😂😂💚💛💚💛💚💛💚💛 Yanga mpaka milele...m
Kam kauwa kam dauwaaa!!💚💛Hapa rahaaaa tuuuuuu
Karaha hazituhusu.....Leo Ni mwendo wa misambaaa tu...mamaeee
Kaaa Kwa kutulia...Shemdarling nisiposhabikia wananchi nitashabikia ujinga gani?
Shem mimi ndio wakala![]()
Hahahahhha...tufurahi Jamani maana tumesimangwa sanaaa....leo njyoooo leo ...🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ni mwendo wa kutoa yoooteeeeeeNina furaha hakuna tena. Hii Yanga navyoipenda kama moyo wangu. Aaaw maneno yameniisha, nimekabwa na raha plus furaha... leo tunatoa yooooteeee 🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
😁😁😁😁😁😂😂😂Hahahahhha...tufurahi Jamani maana tumesimangwa sanaaa....leo njyoooo leo ...🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ni mwendo wa kutoa yoooteeeeee
RAHA SANAAAAAA
Tugawane Hizo nywele😕🤣 Kwakweli
Umenifananisha😂Zamani kidogo kuna memba alikuwa akiitwa Cute Eyes. Ni wewe mkuu ulibadili ID? Tulikuwa tunaitana mpwa halafu akapotea ghafla. Alikuwa na macho mazuri mno akikuangalia yaani ni kama vile anakukaribisha ukale chakula chenye viungo vyote vinavyojulikana hapa duniani; na kilichopikwa kwa ustadi wa kimalaika. Kama ni wewe sema! 😁🖐🖐🖐
HovyooooooooooShemdarling nisiposhabikia wananchi nitashabikia ujinga gani?
Shem mimi ndio wakala![]()
Nimefika tu nikakuulizia kivuruge wangu. Nani huyo alikukomesha na uliyabananga yapi tena?Heaven Sent
Mama malezii, sio kwa kujifungia huko, ndo nini unapita kwa kuibia??
Udugu wako nakaa sello pale O'bay police central siku 7 hata dhamana hutaki kunitolea?? Ubuyu utakuwa unapata wapi sasa??
nimekumic mnooo, ukuje nikupe ubuyu wa huko central.
Huyu Mtumishi huwaga hana shida siyo kama akina Mama Mchungaji
watu tumepambana siku mbili tunakesha hatujala yeye kauchuna tu. Tayana-wog ataselfika tu muda si mrefu subiri hapo hapo usiondoke 😁
Nipo mkuuKitambo sana
Hujambo mdogo angu?HS
Nakusabahi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mwambaaaa mwenyeweeee🔥🔥🔥🔥🔥!!Fanchezooo 🤣🤣🤣🤣💚💛
View attachment 2616946