NimeshaingiaBasi hata jioni ukiwa umetulia home na mjeda jr. Usijali mnywani
Wigeee endelea na mishe za kuwabambia kina khumbu
Akiwa ametulia na mjeda? Huyo mjeda ni nani? na anataka nini?Basi hata jioni ukiwa umetulia home na mjeda jr. Usijali mnywani
Wigeee endelea na mishe za kuwabambia kina khumbu
Yanii leo network inachonifanyiaa lol!Serious??
Mjeda ndo mwenye hati miliki halali ya kumpelekea moto tonnia! MkuuAkiwa ametulia na mjeda? Huyo mjeda ni nani? na anataka nini?
Wanasubiri selfii sio muongozo!Ahsante sana, vijana wanasubiri muongozo.
Haina nomaa mnywanii!Basi hata jioni ukiwa umetulia home na mjeda jr. Usijali mnywani
Wigeee endelea na mishe za kuwabambia kina khumbu
Haha Afisa usafirishaji naingia kwenye harakati zangu mkuuJioni???
Dah utaniambiaaa nije niangalie mafuta mafutaaa na nyama nyamaaaa
🙇🙆 Aisee, kuna raia wanafaidi mema ya nchi.Mjeda ndo mwenye hati miliki halali ya kumpelekea moto tonnia! Mkuu
Pilot do the needful asubuhi yetu iishe vizuri basiii kitrambo sana hujatubless humuu!🙇🙆 Aisee, kuna raia wanafaidi mema ya nchi.
Leo ntapita kama nilivyozaliwa, nita ku tag mida flani.Pilot do the needful asubuhi yetu iishe vizuri basiii kitrambo sana hujatubless humuu!
Aksante sana pilot naisubiriaaa!!Leo ntapita kama nilivyozaliwa, nita ku tag mida flani.
Asantesana aunt tunasubiri
Nashangaa hadi muda huu sina uzi wetu mpya😂
Geography physical Geog,utachapa hadi uniue🤣Walimu utawapa shida sana na ile figure yako ilivyojikata, kiuno kama nyigu, kifua sasa🙆, shule utakayoenda naomba nije niombe kazi ya kufundisha Geography.
Duuh asww kumbe humu kuna watu wazima hivi nilidhanigi ww ni under 25 kumbeeeee ni,,,,,,,