Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,980
Mimi nimetupia jana😂weka yako mama 😂
Mimi nimetupia jana😂weka yako mama 😂
nifanyie wepesi, nateseka....Mimi nimetupia jana😂
Pole sana😂nifanyie wepesi, nateseka....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niwacheeee huko, mfyuuuuuh.I can't imagine ulivyokuwa unalia na kamasi juu[emoji28][emoji28][emoji28]
Sent from my LND-L29 using JamiiForums mobile app
Mchumba ulifanya nini[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niwacheeee huko, mfyuuuuuh.
Senkyuuuuu dear😘💃Welcome dear [emoji8][emoji8][emoji8]
Umenichekesha🤣🤣Wee huku Nyakiboo Gym zitoke wapiii☺️😄!
Sawa mshamba hachekwi.....View attachment 2616675
It's a slow day....
weka yako sasa tuone....Sawa mshamba hachekwi.....
Msukuma ogNoti fea kabisa
Mama Mchungaji inabidi ajitafakari kwa kweli. Hata kwenye Biblia kutesa watu namna hii hairuhusiwi! 😁😁🏃🏿♂️
We mgeni humu nilishaweka za kutoshaaa.weka yako sasa tuone....
sasa ile umeonyesha tu mgongo aisee 😂We mgeni humu nilishaweka za kutoshaaa.
Ila Jana nikiweka na sijaifuta tafuta utaipata🤣
🤣 KwakweliHaya sasa, mmemuona kijana kakua😌😂
Nipo ndugu yangu.Msukuma og
🤭👋 Nakusalimia
Zamani kidogo kuna memba alikuwa akiitwa Cute Eyes. Ni wewe mkuu ulibadili ID? Tulikuwa tunaitana mpwa halafu akapotea ghafla. Alikuwa na macho mazuri mno akikuangalia yaani ni kama vile anakukaribisha ukale chakula chenye viungo vyote vinavyojulikana hapa duniani; na kilichopikwa kwa ustadi wa kimalaika. Kama ni wewe sema! 😁🖐🖐🖐Pole sana😂
Dodoma?Nipo ndugu yangu.
Nilikuwa kwenye semina moja ya Mwalimu hivi karibuni nikawa nakodoa macho pengine nitakuona lakini wapi!
Hujambo lakini?
Ooh unataka kuona nn mdogo angu🤣sasa ile umeonyesha tu mgongo aisee 😂
sura, miguu😁Ooh unataka kuona nn mdogo angu🤣
Aiseee 🤔 🤣sura, miguu😁
fanya hivyo 😂Aiseee 🤔 🤣