Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,831
Kukaa mbele?Dodoma?
Nilikuwepo ila sikutaka kukaa mbele 😅
Nipoo, haya njoo kahama , anaanza kesho.
Mi mzima kabisa ndugu yangu
Mimi nilikuwa nakomaa na wale wahudumu nikidhani kwamba nitakuona. Nilimuona mmoja mwenye umbo kali kama lako nilipomkaribia nikagundua siyo wewe...Baada ya siku mbili nikapoteza matumaini nikaona nikomae tu na Neno...😁😁🙏🏿