Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Mbombo ngafu.Kama kawaida yake
Hadi tumlilie
Mbombo ngafu.Kama kawaida yake
Hadi tumlilie
Ngafu fijo naloliMbombo ngafu.
Mama mchungaji ujue niko poriniMbombo ngafu.
Tutawanyoosha tu we ngojaWana bahati sana hawa wahuni wa Etihad campus.
Naona sikuhizi unavizia tulale ndo uje kwenye uzi.Mbombo ngafu.
Haha mkuu tuweke dau watatolewa sebuleni kwao.Kwa ubora wa Man City pale Etihad RMA hawachomoki
Poapoa niko tayari kuweka dauHaha mkuu tuweke dau watatolewa sebuleni kwao.
Atakam😂Wewe si umesema unaumwa kifua 😅
Poa mkuu dau langu Serengeti mbili tu.Poapoa niko tayari kuweka dau
Wasalimie Sana kandeteBosiledi umepiga kelele hadi nimesikia huku Mwakaleli. How are you doing jamani? Nimemiss kuliona pembe la ng'ombe
Ecclesiastes 5:10 KJVMhubiri 1:14 BHN
Nimeyaona yote yanayofanywa duniani; yote ni bure: Ni sawa na kufukuza upepo!
1 Timotheo 6:10 BHN
Kwa maana kupenda sana fedha ni chanzo cha uovu wote. Watu wengine wametamani sana kupata fedha hata wakatangatanga mbali na imani, na wameivunja mioyo yao kwa huzuni nyingi.
Goodmorning beautiful Tinsley
Poa tutembee na dau hilohiloPoa mkuu dau langu Serengeti mbili tu.
Nimeamka salama madamShikamoo umeamkaje Chief
Tajir mwenye unywele wake hyo nywele bei yake ni sawa na IST yanguHii Kwa Leo ....more to come😅
Mzuri kuliko x wanguNipo poa Chief
Nasubiri na yako View attachment 2616300