Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Alfu wewe unajua utasababisha mama mchungaji aghailiHujanipa
Uliweka za umma,bahati nzuri nilikuwa na shida na bando la kuangalizia mechi
Subiri kidogo chief
Sio haba kutoka 1-1 Santiago Bernabéu tunawasubiri sasa EtihadHakuna mungu wa Pep G mungu ni wa Madrid tu leo.
Bila picha hakuna siku njema
Wewe si umesema unaumwa kifua 😅😂😂😂 walai hufai kabisa wewe
Kwani uongo?Alfu wewe unajua utasababisha mama mchungaji aghaili
Ebu tulia kwanza si tumeshayajenga kwenye jezi?
Tulia kwanza basi mama mchungaji aweke kitu hapa
Wana bahati sana hawa wahuni wa Etihad campus.Sio haba kutoka 1-1 Santiago Bernabéu tunawasubiri sasa Etihad
Kwa ubora wa Man City pale Etihad RMA hawachomokiWana bahati sana hawa wahuni wa Etihad campus.
Unaona mama mchungaji kapotea?Kwani uongo?
Niliku tag, tomorrow.Bila picha hakuna siku njema
Unajua nimerudi selfika kwa ajili yako,Niliku tag, tomorrow.
😂Unaona mama mchungaji kapotea?
Ebu ufanye namna arudi
Unaona sasa?
Mrudishe mama mchungajiUnajua nimerudi selfika kwa ajili yako,
Nilikuwa nimepoteza kwenye huu Uzi, Kwahiyo usinizinngue.
Hamna kapicha ka kusindikizia?
🤣🤣🤣Mrudishe mama mchungaji
Nitakusaidia kumshawishi boss mkubwa aselfike
Captain nammuduMrudishe mama mchungaji
Nitakusaidia kumshawishi boss mkubwa aselfike
Kama kawaida yakeHamna kapicha ka kusindikizia?