Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Siku ya nikimaliza research nipeleke nikale kwanza kebab na pita bread ndio tuendelee na maongezi.what?
Siku ya nikimaliza research nipeleke nikale kwanza kebab na pita bread ndio tuendelee na maongezi.what?
Unataka nile kama wwe 😂😂Wewe ndo maana kamwili kako kadogo 😅
So sadUkisikia Bomba usiku linatoa Maji usitoke nje kwenda kufunga hiyo Style Mpya ya Wezi wanafungua Bomba Ili ukitoka Nje Wanakupiga na vitu vizito Kama Mnanyo Ona Kwa CCTV Camera Yatupasa kuwa Makini SanaView attachment 2616028
Yeah body fulani ya kiumeUnataka nile kama wwe 😂😂
Af sikai kwa shemej wazee mbna mnaniandamaBado uko kwa shemeji yako unatamba?
gym tenaYeah body fulani ya kiume
Hatari sana hizi mbinuSo sad
Hawa wezi duh .
Ulituambia mwenyewe lakini labda utuambie kuwa ulisharudi home kwenu 😅Af sikai kwa shemej wazee mbna mnaniandama
Na haya maji ya dawasa usiku ndo yanajaa .Hatari sana hizi mbinu
Gym kwa vile vimsosi unavyokula utaishia kukomaa tu mwiliNgoja nikianza
gym tena
Na kweli, sema jinsi wezi walivyo na mbinu nyingi tuseme Mungu asaidie tu kutulindaNa haya maji ya dawasa usiku ndo yanajaa .
a kakaUlituambia mwenyewe lakini labda utuambie kuwa ulisharudi home kwenu 😅
a kakaUlituambia mwenyewe lakini labda utuambie kuwa ulisharudi home kwenu 😅
Poa saivi umerudi home kula ugali wa shikamoo, sio?Ahahahah mbona huko nishatoka mda san
a kaka
Ahahahah acha zako wwew bwegeGym kwa vile vimsosi unavyokula utaishia kukomaa tu mwili
Ahahahah huko nako nimetoka mda sanaPoa saivi umerudi home kula ugali wa shikamoo, sio?
Ndo nakwambia sasa 🤣🤣🤣Ahahahah acha zako wwew bwege
Lini umeanza kujitegemea?Ahahahah huko nako nimetoka mda sana
Amen , ukilala na kuamka salama ni neema .Na kweli, sema jinsi wezi walivyo na mbinu nyingi tuseme tu Mungu asaidie tu kutulinda