Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Au ni wewe kwa ID ile ingineWife ndio kampikia leo jamaa anagonga mdudu mida hii[emoji1787][emoji1787]
Au ni wewe kwa ID ile ingineWife ndio kampikia leo jamaa anagonga mdudu mida hii[emoji1787][emoji1787]
Niko serious kabisa, hayo mambo mimi siyawezi kabisaaaa. Ni maji tu au mirinda nyeusi baaasi.
HahahahahahaKweli wewe jambazi[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]+254
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lol tumeongezewa na chai. Huyu angejua mi nasubiria picha nzuri hapa, angeacha kunisumbua.
View attachment 1271318
Au ni wewe kwa ID ile ingine
Unaiba vitu vikubwa vikubwa tu[emoji134][emoji134][emoji134]Hahahahahaha
Sijawahi iba hata sindanoo
Kweli wewe jambazi[emoji134][emoji134][emoji134]
Mmmmmh!!Nina moja tu
Aaaah wewe unaachwa na gari huku unaliona. Ila jana nilikuwa nadeal na quotes na tags tu ndio maana.
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Tumeachana lini Sakayo...?
Soma neno la Mungu hapo chini leo tena ni jpili..
Soma mstari wa 6 vizuri hapo chini.
View attachment 1271322
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mama yake yuko wapi?
Mie nafichwa na wanangu tu, si inajua msimu wa mitihani huu?Yeah don't do that again,, halafu naweza kusema wewe ndiyo ulifichwa sijui maana humu hauonekani kabisa hata hivi leo ni maajabu naona uko active..
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Teh teh teeeeeeh!
Safi sana, tuliza akili sasa upate somo sio kusubiri picha tu.
SawaNina moja tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daah halafu hili cheko huwa sielewi linamaanisha nini eti
Mie nafichwa na wanangu tu, si inajua msimu wa mitihani huu?
Huyo huyo.