Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 20,049
- 45,812
π π π π Ilikuwa πππ Maana hapa ndio tulikuwa tunaelekea kwenye evolution ya HD π
π π π π Ilikuwa πππ Maana hapa ndio tulikuwa tunaelekea kwenye evolution ya HD π
π₯mwezi mzima umekuwa mshahara huo, naona dalili zote za kukataliwaNa kujitolea kote jamani??ππ
Mwezi mmoja tu unanitosha!
Umependeza mtoto mzuri. Habari?
Majuzi tu hiyo 2021 .π π π π Ilikuwa πππ Maana hapa ndio tulikuwa tunaelekea kwenye evolution ya HD π
Asante , nzuri vipi wewe Pilot ??Umependeza mtoto mzuri. Habari?
π π π Nikadhani 2011 hukoMajuzi tu hiyo 2021 .
Hehehe wapi , picha zangu ni from 2017 , huko nyuma nilikuwa na sura personal πΉπΉπ π π Nikadhani 2011 huko
Happy Birthday classmate
Unanichukulia Poa eeh?ππAsee endelea tu kuimba nyimbo za injili na kipika cake..ππ
Nataka ya kununua wenyewe nikajipimisheKesho saa 12 jioni njoo uchukue jezi yako Ubungo mama mchungaji
matunda muim kwa ajili ya afya....
Ukataliwe na nani tena na mchumba sijakupatia???π€π₯mwezi mzima umekuwa mshahara huo, naona dalili zote za kukataliwa
Sana!!! Daktari sio rafiki!matunda muim kwa ajili ya afya....
aiseeπ watu mna maneno....Daktari sio rafiki!
aiseeπHappy birthday bila kwichikwichi ni Sawa na mei mosi
Hehehe balaaUna lips nzuri za kimahaba hapo kifuani mm hoi [emoji39][emoji39]
Hehehe balaa
Wapi tunakata keki Mkuu