Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,867
😂😂😂 Team midevu sioHalla Madrid 😍
😂😂😂 Team midevu sioHalla Madrid 😍
Kwanini sasa anakuwa mvivu uhuyyAlitakiwa awe na wajukuu wawili
Sina mfuko wa machine. Tunatotoa kwa hesabuKwanini sasa anakuwa mvivu uhuyy
Huna dogo [emoji23][emoji23][emoji23] mpaka ushirikishe majirani
Sina mfuko wa machine. Tunatotoa kwa hesabu
Msamilie sana mr vouchaaa Mwambie nimemmisso hadi naumwaaa!!Ni mimi nimemficha huku 👉👉
Anakula bata
Nitumie address unaipata chap
Hapana acha ukweli tusrmeMsinishauri mtanichanganya
Liver kuku 🤣🤣🤣Njoo Liverpool Wewe 😂😂😂
Aisee unatupondea balaa 😂😂😂Timu imeisha hiyo Boss wenu mpya anadhani kununua wachezaji wenye majina ndio kupata mafanikio 😆
Hii sio timu Wewe toka ameondoka yule Muisrael fake sasa imekuwa inagawa point tu nashangaa juzi Bournemouth naye kalegeaaa 🤣🤣🤣
Na kujitolea kote jamani??🙄🙄Umeshaanza kunipiga chenga😔, haya nambie we unataka iwe muda gani?
😅💃Mama mwenye shep lake jmn umeanza....baadae bana...Tayana-wog kipenzi nimeona kivulii chakooooo😍😍!
Karibu tena selfika mamaloooo!!
Trunakupendaa pia mamii tunafurahi kukuona tena selfika mjumbe kitambo sanaa! Tunazisubiriaa selfii zako kama zoutreeee deaaa wabheja sana!😅💃Mama mwenye shep lake jmn umeanza....baadae bana...
Nawasalimu woteee humu....
Niliwamiss,nawapeda
🙏🙏Trunakupendaa pia mamii tunafurahi kukuona tena selfika mjumbe kitambo sanaa! Tunazisubiriaa selfii zako kama zoutreeee deaaa wabheja sana!
Uwe na kazi njema mamii kwa sauti ya Saint Anne🙏🙏
Stay tuned... baadae
Ngoja tupige kazi kwanza😘😅