Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 19,149
- 43,098
Hizi ni dharau za kiwango cha PhD. Timu kubwa sana ile ujue.Umeishiwa nyuzi za kuomba? Si heri uombe wa our fellow blue.
Aaliyah Haaland
Hizi ni dharau za kiwango cha PhD. Timu kubwa sana ile ujue.Umeishiwa nyuzi za kuomba? Si heri uombe wa our fellow blue.
Aaliyah Haaland
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆Awe ana PhD(optional)
Awe anajua kupika.
Awe ana account jf na awe ni platinum member.
Naomba unitafutie pls.
Uishi miaka 200 we mtoto.Hello Post.
uselfike mamie KininiuuuHappy Birthday classmate
Kwenu. Not kwangu.Hizi ni dharau za kiwango cha PhD. Timu kubwa sana ile ujue.
Mbona hizi sifa unazo wewe? 😂😂😂😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
Ngoja nianze research immediately.
Deadline lini???
Including you.😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
Ngoja nianze research immediately.
Deadline lini???
Mimba za utotoni ndio zikoje kwanza 🤣🌚Si tuna mwagia ndani unapata mimba za utotoni na ukimwi juu 😂😂
Ni mimi nimemficha huku 👉👉cocastic shougaaangu naona kitabu kimekubananishaaaa! Nimekumisijeeeeeee mieee!!
Nitumie address unaipata chapAsantesana aunt tunasubiri
Uingereza yote labda kama unashabikia Italy huko. 🤣🤣🤣Kwenu. Not kwangu.
Kwangu nawaona kama kuku vishingo
Amen 🙏❤️Uishi miaka 200 we mtoto.
Kesho saa 12 jioni njoo uchukue jezi yako Ubungo mama mchungajiNashangaa hadi muda huu sina uzi wetu mpya😂
Wababa wa Liverpool mnaniangusha
😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣Including you.
Deadline after 5 hrs.
Sitaki kujua 😂😂Uingereza yote labda kama unashabikia Italy huko. 🤣🤣🤣
Asee nilikuw sifaham ujue, ni kweli hizo sifa anazo, we jamaa upo makini sana.Mbona hizi sifa unazo wewe? 😂😂😂
Kwa kweli wewe una deserve kuchukua huo mzigo 😂😂😂Asee nilikuw sifaham ujue, ni kweli hizo sifa anazo, we jamaa upo makini sana.
Unapata ukiwa na umri wako uho au zile mimba za kimasihara 😂😂Mimba za utotoni ndio zikoje kwanza 🤣🌚
Kwahiyo wewe ni Bluziii?? Aisee kumbe bado mtoto sana umeanza kushabikia Epl miaka ya 2010 😆😆😆😆Sitaki kujua 😂😂
#💙🤍💙
But I'm not the only one.Mbona hizi sifa unazo wewe? 😂😂😂
Watu kama nyie hapa duniani mmebaki wachache sana.Kwa kweli wewe una deserve kuchukua huo mzigo 😂😂😂