Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Ile mbona rahisi, hujapata mwalimu mzuri, jioni utakuwa unakuja nakufundisha mpaka asubuhi, utaelewa tu.Geography physical Geog,utachapa hadi uniue🤣
Nitafutie shule nzuri nianze mdogo mdogo angalau nifike form four jamani.
Nalifanyia kazi hilo.