Thank you Kipenzi 😍😍Cute 😍😍
byurifuu😍
Ooh okay MkuuHamna mkuu nimefurahi kukuona 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Hamna shida kabisa sisy 😆😆
Asante camera hizo tubyurifuu😍
Wala usihofu sisy,,, usishtuke sana kwa mtu usiyemjua 😜😜😜 take it easy mkuuOoh okay Mkuu
Reaction hizo zinatushtua .
balaa kivipi tena😂Asante camera hizo tu
Ukiona live ni balaa
Eruption of magmaPhysical Geography uanze kusoma yale Ma Plateau, soil erosion halafu kwenye maisha ya sasa hivi hayakusaidiii lolote 😆😆😆
I can't handle criticism very well.Wala usihofu sisy,,, usishtuke sana kwa mtu usiyemjua 😜😜😜 take it easy mkuu
Hujawah kuona picha nzuri halafu live ukataka ukimbie mtu .balaa kivipi tena😂
Daaaah 😅😅😅😅😅 aseeeI can't handle criticism very well.
Ndo maana nikashtuka na reaction .
nimewahi kuona, ila kumkimbia sijawahi sitaki kumuumiza mtu kiasi hicho 😂Hujawah kuona picha nzuri halafu live ukataka ukimbie mtu .
I can't deal with it aiseee ... I hate hearing or listening to negative things ... I guess nimeumbwa hivyoDaaaah 😅😅😅😅😅 aseee
Criticism ni tamu sana mkuuu 😋😋😋😋
Ukiweza ku handle hamna kitu kitakachokusumbua
Japo sijaku criticise ila ni tamu sana ukiitumia kwa manufaa yako 😁😁😁😁😁😁
Ooh sawa pole dearI can't deal with it aiseee ... I hate hearing or listening to negative things ... I guess nimeumbwa hivyo
Un applicable kwenye haya maisha ya sasa. Imagine kuna Jamaa tulikuwa nae pale Azania siku zote alikuwa anatembea na Burnet na Lambert ya Physics leo hii ni mchambuzi wa mpira pale AZAMTV 😂😂😂Eruption of magma
Wenzako wanawakimbia , ni unamtime kabla hajafika then kumuuliza alipo kaaa na rangi za nguo alizovaa .nimewahi kuona, ila kumkimbia sijawahi sitaki kumuumiza mtu kiasi hicho 😂
Its okay , nishazoeaOoh sawa pole dear
Tupo tofauti, Mungu akufanyie wepesi 🙏