Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Geography physical Geog,utachapa hadi uniue🤣

Nitafutie shule nzuri nianze mdogo mdogo angalau nifike form four jamani.
Physical Geography uanze kusoma yale Ma Plateau, soil erosion halafu kwenye maisha ya sasa hivi hayakusaidiii lolote 😆😆😆
 
Timu

Hii sio timu Wewe toka ameondoka yule Muisrael fake sasa imekuwa inagawa point tu nashangaa juzi Bournemouth naye kalegeaaa 🤣🤣🤣
Nilisoma Yale matokeo mara mbili ni sie au😂😂😂
 
Asante nashukuru sijawa mfupi maana nilivo na matatizo ningekuwa mfupi sijui ningekuwaje😀😀😀
Hahaha matatizo ni sehemu ya maisha mrembo 😉😉😊😊.

Tusonge mbele tu 😇🤗
 
Back
Top Bottom